Irene Uwoya unachomfanyia Mzee Majuto Mungu anakuona

Kwa uandishi huu nauhakika wewe ni msomi,mkuu hivi leo mimi nikianzisha dini ikasema kuvaa kanzu ni haramu ,utanielewa nikisema nina uvumilivu wa kidini lakini nasema '' waislamu na mikanzu yao''
Kuna kitu kinaitwa

"RELIGION TOLERANCE"

nadhani Concept hii utakuwa unaijua vizuri sasa mm sija dharau wala kukashifu iman ya dini fulani kwa mfano ukisema "kuvaa makanzu ni Haramu " hapa inakuwa umeahindwa kuheshimu na kuvumilia dini ya mtu mwengine kwasababu uvaaji wa kanzu ni Ktk Elements za Uislam kama ilivyo Rozali na Msalaba kwa iman ya Kikristu

Lakini mm kwenye uzi wangu nimepinga matumizi ya picha ya marehemu ambaye ni muislam kutumika kutangazia Pombe ambayo sio halali kwa mujibu wa mafundisho ya kiislam

Sasa Je hapo ni meingilia uhuru wa dini ya mtu mwengine au nimekashifu mtu wa Iman nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamja nielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumekuelewa sana ila hauna point. Imani yako baki nayo moyoni, usitake kila mtu aishi upendavyo. Uwoya ni msanii wa filam na Majuto pia alikuwa msanii (muasisi) wa filam kwahiyo ni wazi kuwa amechora picha ile katika kumuenzi na kuthamini mchango wake kama ambavyo angeweza kuchora picha nyingine yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani kwa mfano huu " hivi kama ni wewe picha ya Mzazi wako aliyefariki iwekwe Bar utajisikiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani kwa mfano huu " hivi kama ni wewe picha ya Mzazi wako aliyefariki iwekwe Bar utajisikiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama alikuwa kioo cha jamii (Kiongozi, msanii, mwanamichezo n.k) nitafarijika sana kuona jamii imetambua na kuenzi mchango wake. Kinyume na hapo hakuna anayeweza kuchora picha ya mtu baki asiye na mahusiano naye na asiye mashuhuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti pombe ni haram! Wakati kiasi kikubwa vha kodi kinatoka kwenye pombe? Elim bure kwa mwanao, huduma za afya, barabara unazopita, umeme....vyote hivyo vinamchango mkubwa kutoka kwenye kilevi. Vigomee vyote hivyo utakuwa umejitende haki.
 
Eti pombe ni haram! Wakati kiasi kikubwa vha kodi kinatoka kwenye pombe? Elim bure kwa mwanao, huduma za afya, barabara unazopita, umeme....vyote hivyo vinamchango mkubwa kutoka kwenye kilevi. Vigomee vyote hivyo utakuwa umejitende haki.
Kwani alieharalisha ni mm au Serikali mm nitaizuia nafsi yangu kuviendea vitu vinavyotokana na pombe lakini ikiwa Serikali inakusanya mapato huku hilo linawahusu viongozi wenyewe ndio wanajua watamalizana vipi na Mola wao

Ukitaka kujua pombe ni Haramu nunua Kreti moja subiri J2 ijayo kaitoe kama Sadaka Kanisani alafu uone itapokelewa au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Kwanza kabisa elewa mfu yeyote hajui chochote,hata picha yake ingebandukwa guest house hakuna anachosikia wala kuumia.
2. Hakuna sehemu yeyote inayosema pombe ni haramu.
3. Mbona waalimu kibao wanapiga ponbe afu ww unaongea kwa mihemko sana kana kwamba hakuna muslims hata 1 anaetumia.


Ukiangalia picha za wasanii wafu wapo wengi kwanini umemuona Majuto tu? Vipi kuhusu Ngwair,Sharo n.k? Hao sio wafu ama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Mzee ni Alhaj na alikuwa anaswali swala tano na amejenga msikiti Tanga hao akina Sharo na Ngwea cjawagusa kwasababu hawakuwa na Impact yeyote katika dini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakua na kosa kama labda hajaongea na familia za wafu wote kuhusu matumizi ya picha zao na sio Majuto tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo nyinyi mnaliangalia suala hili kirahisi tena kwa jicho moja la kutumia akili za kuzaliwa na Utashi mm nalizungumzia kiimani ya kiislam kuwa halifai hapo ndio tunaposigana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…