As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,538
- Thread starter
-
- #121
Kwaiman ya kislam kuna Vituo 3 mwanadamu anavipitia
Aisee acha tu mpaka inakuwa ngumu kumesaMgongano mkali wa imani huu
VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
Nauliza sababu mm najua majuto kafa,sasa kama kafa anawezaje kuhisi maumivu?? Anawezaje kuonekana mbaya wakati hayupo? Kama angekuwa hospitali anaumwa ningesema sawa sio poaa kutumia picha zake kibiashara kisa mzee wa watu hajiwezi,na kama angejua ingemuumiza sana,lakini hayupo sasa.
Haya mkuu nimekuelewaKuhusu kuuza pombe hakuna shida kwa wanaopenda, issue ni tangazo hilo anatakiwa kulipia sehemu kwa familia. Mfano akina Michael Jackson bado wanaingiza mkwanja mrefu sana wa karibu dollar 40,000 licha ya kuwa walishakufa. Familia inaendelea kunufaika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya bikidude mbona hujazungumzia unauchungu kuliko mke wa mzee majuto vp ulishawahi kumsaidia yule mjane japo kwa mche wa sabuni unaijua dini vizuri? au we kama nani unahukumu? Msemaji wa familia au? #acha unafiki huendi mbinguni#Kamwe siwezi kufanya kazi ya kipato Haramu Nina maisha yangu sinahaja na ajira ya mtu pole sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndivyo alivyosema itakuwa haujasikiliza Interview yakeSio kwamba kaweka ili kuwaenzi??
Kashfa tu hiyo Nguruwe hao walevi ambao waislam hawali itakuwa Sheikh kuiba Nguruwe?Daah kuna gazeti limeripoti shekhe ameiba nguruwe huko Mwz,very sad.
Avatar yko inaonyesha kabisa ww ni mtu wa mlengo ganiHapa Tanzania, hizo dini zenu nendeni mkaishi Saudi Arabia.
Hakuna kitu kama hicho, kosa la mtu mwingine aje aadhibiwe mzee kwa mantiki ipi? Alichofanya si sahihi lakini mzee wa watu hatowajibika kwa hili
Ok