Irene Uwoya, Wema Sepetu wanateswa na pepo la ngono

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,932
Reaction score
4,544
Mabinti hawa wameshindikana kabisa,uhuni wanaofanya wao wanaona sifa, Ndikumana alileta ushamba wa Kinyarwanda hapa bongo akaparamia dege lisiloliwa,mwisho wa siku anajuta hana hata pa kushika.

Wema nae eti siku hizi anaitwa madame,kwa lipi? uingereza mtu akiitwa sir,au madame, ni mtu ambaye katikajamii anaheshimika kutokana na matendo yake mazuri na ya kuigwa na jamii yote,sasa hapa bongo u madame wa Wema ni kubadilisha wanaume ndo aitwe madame? hapa ndo nakubaliana na Prof James Watson kuwa, sisi Waafrika tuna uwezo mdogo sana wa kufikiri.

Yaani bongo zetu ni finyu na IQ ndogo,hebu fikiria jinsi magazeti ya udaku yanavyouza habari za kijinga na kutajirisha watu,yaani mtu ananunua gazeti lenye habari ya uwoya afumaniwa,badala ya kununua gazeti atakalosoma libadili maishe yake. ukicheche wa Wema na Uwoya umegeuka kuwa u superstar hapa bongo,mabinti hawa na wenzao wengine wanatia kichefuchefu kwa tabia zao chafu,yaani eti limbukeni anayesombwa na kila mwanaume anaitwa madame,wabongo nonesense kabisa.
 
Nasikia The sun la waingereza linaongoza kwa mauzo,je nao wana IQ ndogo hao waingereza?
 
ndo maisha waliyojichagulia...wamesahau kuwa fainali uzeeni!!
 
Nasikia The sun la waingereza linaongoza kwa mauzo,je nao wana IQ ndogo hao waingereza?

Wao walishafanya makubwa siku nyingi ndio maana sasa hivi wanadigest ubongo kwa hizo tabloids, Sisi Wabongo si sahihi kuwekeza kwenye udaku.
 
Kuna siku Uwoya alikua anahojiwa juu ya mafanikio yake akajibu hivi, kuna fursa niliziona na nikazitumia sasa akaambiwa azitaje akakataa kuzitaja hizo fursa
 
Wao walishafanya makubwa siku nyingi ndio maana sasa hivi wanadigest ubongo kwa hizo tabloids, Sisi Wabongo si sahihi kuwekeza kwenye udaku.

Hahahahahaha,safi sana mkuu umemjibu vizuri sana,nilikuwa najiuliza nimjibuje? hakika wewe ni genious! yaani hadi nimecheka.
 

Kwanza umeanza kumsema ndikumana ..kabla hujamaliza ukaanza issue za wema..katikati ukaleta stori za dkt. watson hujamaliza ukaanza kulaumu waafrika...then ukaacha ukaingilia magazeti ya kibongo..ukaacha ukaanza kuzungumzia mabinti wengine wengi...ukamalizia na wabongo nonsense...

What we can summarize from this:
una stress..za maisha/kukosa hela/matatizo sijui...ila una stress halafu hujui jinsi ya kuchomoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…