wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,932
- 4,544
Mabinti hawa wameshindikana kabisa,uhuni wanaofanya wao wanaona sifa, Ndikumana alileta ushamba wa Kinyarwanda hapa bongo akaparamia dege lisiloliwa,mwisho wa siku anajuta hana hata pa kushika.
Wema nae eti siku hizi anaitwa madame,kwa lipi? uingereza mtu akiitwa sir,au madame, ni mtu ambaye katikajamii anaheshimika kutokana na matendo yake mazuri na ya kuigwa na jamii yote,sasa hapa bongo u madame wa Wema ni kubadilisha wanaume ndo aitwe madame? hapa ndo nakubaliana na Prof James Watson kuwa, sisi Waafrika tuna uwezo mdogo sana wa kufikiri.
Yaani bongo zetu ni finyu na IQ ndogo,hebu fikiria jinsi magazeti ya udaku yanavyouza habari za kijinga na kutajirisha watu,yaani mtu ananunua gazeti lenye habari ya uwoya afumaniwa,badala ya kununua gazeti atakalosoma libadili maishe yake. ukicheche wa Wema na Uwoya umegeuka kuwa u superstar hapa bongo,mabinti hawa na wenzao wengine wanatia kichefuchefu kwa tabia zao chafu,yaani eti limbukeni anayesombwa na kila mwanaume anaitwa madame,wabongo nonesense kabisa.