kwa hiyo?huyu si ameolewa jaman
kwa hiyo?
Kwa macho yangu nimemshuhudia Irene Uwoya Novotel Mount Meru weekend hii akiwa na predeshee mashuhuri wa Dar wakiwa wamekuja kula maisha,hawa wasanii hawa!
Kwa hiyo ?
mbona walikuwa wana fanya shooting ya bongo movie pale Novotel, au haukuangalia vizuri?