Irene Uwoya

Irene Uwoya

chuchunge

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2007
Posts
218
Reaction score
167
Kwa macho yangu nimemshuhudia Irene Uwoya Novotel Mount Meru weekend hii akiwa na predeshee mashuhuri wa Dar wakiwa wamekuja kula maisha,hawa wasanii hawa!
 
mbona walikuwa wana fanya shooting ya bongo movie pale Novotel, au haukuangalia vizuri?
 
Dili hiloo, ungepiga picha ukaenda kuuza global publishers!!!
 
Kwa macho yangu nimemshuhudia Irene Uwoya Novotel Mount Meru weekend hii akiwa na predeshee mashuhuri wa Dar wakiwa wamekuja kula maisha,hawa wasanii hawa!

picha???
 
Ni heri kuwa msanii kama yeye kuliko kuwa mpashkuna kama wewe.
fuata na ufanye yako.
 
Back
Top Bottom