Irene Uwoya

mmemsahmbulia bure kwani hili jukwaa si kila siku mnaongelea maisha ya watu, mara flani kafanya hivi, mara sijui nani ana scandal hii mara weka CV ya flani nashangaa iweje mmemshambulia aliyeleta hii thread.
Duuh jf kweli ina mambo sijui watu uwa wanafuata upepo wa mtu anaye comment akiwa wa kwanza kwenye thread
 
Labda mume wake nyie mtajuaje? Kwani inakatazwa wasanii wa bongomovie kwenda kula raha arusha?...
 
U dont know who ya talking to,u are supporting immorality in the society,yakitokea ya Lulu ndio mnaanza midomo yenu mirefu,its better to correct when its not late!
Ni heri kuwa msanii kama yeye kuliko kuwa mpashkuna kama wewe.
fuata na ufanye yako.
 
Yu are very right,Wapambe nuksi na nadhani wanajua ninayemuongelea,all in all message sent and well received!
 
Ni nani hamjui mume wake wewe?ingekua ni mume wake ningeandika ili iweje?
 
wat if hiyo sio big deal kwake!?

Legacy u leave behind 4 ur generation mataz! Mama changu* , baba hajulikani! We r creating our own generation curse den u gve hard tym 2 kids! Thnk beyond wat u see b4 doing nythng!!!
 
Kwa macho yangu nimemshuhudia Irene Uwoya Novotel Mount Meru weekend hii akiwa na predeshee mashuhuri wa Dar wakiwa wamekuja kula maisha,hawa wasanii hawa!

Nasikia alikuwa kwenye "scene" ya maandalizi ya movie yake mpya!:shut-mouth:
 
Your very right Zanzsco!
Legacy u leave behind 4 ur generation mataz! Mama changu* , baba hajulikani! We r creating our own generation curse den u gve hard tym 2 kids! Thnk beyond wat u see b4 doing nythng!!!
 
Umemuona tu Arusha once umepagawa, Je ungekuwa ufuatilia nyendo zake zooooooooooote huko Dar si ungeshakuwa marehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…