snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
wat if hiyo sio big deal kwake!?Wivu wa nini wewe?Pesa si kila kitu,she has to protect her name,reputation and her Dignity!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wat if hiyo sio big deal kwake!?Wivu wa nini wewe?Pesa si kila kitu,she has to protect her name,reputation and her Dignity!
Ni heri kuwa msanii kama yeye kuliko kuwa mpashkuna kama wewe.
fuata na ufanye yako.
mmemsahmbulia bure kwani hili jukwaa si kila siku mnaongelea maisha ya watu, mara flani kafanya hivi, mara sijui nani ana scandal hii mara weka CV ya flani nashangaa iweje mmemshambulia aliyeleta hii thread.
Duuh jf kweli ina mambo sijui watu uwa wanafuata upepo wa mtu anaye comment akiwa wa kwanza kwenye thread
Yu are very right,Wapambe nuksi na nadhani wanajua ninayemuongelea,all in all message sent and well received!
wat if hiyo sio big deal kwake!?
Kwa macho yangu nimemshuhudia Irene Uwoya Novotel Mount Meru weekend hii akiwa na predeshee mashuhuri wa Dar wakiwa wamekuja kula maisha,hawa wasanii hawa!