Genius Messi
Member
- Oct 14, 2017
- 74
- 52
Nini Sasa!? Au umesahau utamu wa muwa uliozamisha Meli!???Bado ...yule mdada mrembo aliyeolewa na proffesional footballer harusi kubwa ya kifahali ati ameolewa tena na bw mdogo yule?kwa lipi hasa?amekosa nini mrembo yule?
Bado siamini huenda ni movie mpya hiyo yaandaliwa
M nhc n scene dogo janj ankuw kam co ms**ng bhn.Bado ...yule mdada mrembo aliyeolewa na proffesional footballer harusi kubwa ya kifahali ati ameolewa tena na bw mdogo yule?kwa lipi hasa?amekosa nini mrembo yule?
Bado siamini huenda ni movie mpya hiyo yaandaliwa
Kwa povu na malalamiko haya, Inawezekeana wewe ni mke mwenzieBado ...yule mdada mrembo aliyeolewa na proffesional footballer harusi kubwa ya kifahali ati ameolewa tena na bw mdogo yule?kwa lipi hasa?amekosa nini mrembo yule?
Bado siamini huenda ni movie mpya hiyo yaandaliwa
Wasichana/wadada wapweke hawana choice ya mume. Anayejitokeza ili mradi ana pesaBado ...yule mdada mrembo aliyeolewa na proffesional footballer harusi kubwa ya kifahali ati ameolewa tena na bw mdogo yule?kwa lipi hasa?amekosa nini mrembo yule?
Bado siamini huenda ni movie mpya hiyo yaandaliwa
kampendea mguu usiotembea na ukitembea hii mingine haifanyi kazi...M nhc n scene dogo janj ankuw kam co ms**ng bhn.
Kweli aseeKweli msikilize hapa
Na Hapa