Irine vs Dogo Janja,Ni Kweli au ni moja ya Scene Ktk Movie mpya ya Irine?

Genius Messi

Member
Joined
Oct 14, 2017
Posts
74
Reaction score
52
Bado ...yule mdada mrembo aliyeolewa na proffesional footballer harusi kubwa ya kifahali ati ameolewa tena na bw mdogo yule?kwa lipi hasa?amekosa nini mrembo yule?
Bado siamini huenda ni movie mpya hiyo yaandaliwa
 
M nhc n scene dogo janj ankuw kam co ms**ng bhn.
 
Kwaku lalamika huku, tukueleweje...[emoji45] [emoji45]
 
Bado ...yule mdada mrembo aliyeolewa na proffesional footballer harusi kubwa ya kifahali ati ameolewa tena na bw mdogo yule?kwa lipi hasa?amekosa nini mrembo yule?
Bado siamini huenda ni movie mpya hiyo yaandaliwa
Kwa povu na malalamiko haya, Inawezekeana wewe ni mke mwenzie
 
Bado ...yule mdada mrembo aliyeolewa na proffesional footballer harusi kubwa ya kifahali ati ameolewa tena na bw mdogo yule?kwa lipi hasa?amekosa nini mrembo yule?
Bado siamini huenda ni movie mpya hiyo yaandaliwa
Wasichana/wadada wapweke hawana choice ya mume. Anayejitokeza ili mradi ana pesa
 
Mbona mapovu hayawaishi mtu kashaolewa bado hamuamini
 
IMG_20171031_100310.jpg
Unajifanya hujui wakati jibu liko wazi kabisa
 
Mleta Mada Mbona Watokwa na Povu Kama Kinyesi Cha Bata aliye Kunywa Maji Ya Sabun
 
Hawa watoto washamba washamba lazima washobokee Mi Mama ya Bongo Movie.
 
si wahenga tunakumbuka ule wimbo wa dudubaya nampenda kikongwe?
 
Back
Top Bottom