Iringa for the first time in my life

Unaenda sehemu gani Iringa, town au wilayani?

1. Gari (Bus) panda ABC Upper Class
2. Lodge kaa budget iyo zipo nyingi ila usikae Ipogoro uku panda kule juu.
3. Beer unataka na huduma nyingine au bia tu?
Mjini. Nitakuwa dodoma saa9 nawezaunganisha
 
Unaenda sehemu gani Iringa, town au wilayani?

1. Gari (Bus) panda ABC Upper Class
2. Lodge kaa budget iyo zipo nyingi ila usikae Ipogoro uku panda kule juu.
3. Beer unataka na huduma nyingine au bia tu?
Hapana mkuu hizo huduma zingine situmii, nilionao wananitosha and nikizidiwa huwa nasafiri naye
 
Nenda kule Milimani Kilolo kuzuri kwani kuna mazingira mazuri, Gali ta hewa safi na zipo Guest nzuri za kisasa tu. Ni sehemu nzuri ya kupumzika kule.
 
Nitalala dodoma ndo nimeingia jion hii, nipo rora restaurant hapa napata dinner nikalale
 
Nitalala dodoma ndo nimeingia jion hii, nipo rora restaurant hapa napata dinner nikalale
Itakuwa unakuja kwenye maonesho ya utalii.. karibu kusini
Pamechangamkaaa wageni wengi logde Bila booking unaweza kukosa
 
Its a best place to be... Mji hauna gharama kabisa. Utarudi na pesa yako Kama ulivyokuja nayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…