Dah naikumbuka sana shule yangu iliyonitoa ujinga. Namkumbuka headmistrec mama Mgonja amefanya kazi pale miaka25. Dah nikikumbuka enzi ya kudabo makande kwa aunt Monica!! Raha sana. Mlinz wetu anko Samboni, ukimpa buku tu unachomoka, kasheshe maspy wakijua.