Iringa girls high school!!!!!

Iringa girls high school!!!!!

Nyrum

Senior Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
124
Reaction score
41
Dah naikumbuka sana shule yangu iliyonitoa ujinga. Namkumbuka headmistrec mama Mgonja amefanya kazi pale miaka25. Dah nikikumbuka enzi ya kudabo makande kwa aunt Monica!! Raha sana. Mlinz wetu anko Samboni, ukimpa buku tu unachomoka, kasheshe maspy wakijua.
 
unakumbuka jina lenu la Zoo kutoka kwa Tosa boys?
 
Dah!! Wenyew tulikuwa tunajiita Zoo ladies . Wachumba zetu Tosamaganga.
 
ha ha ha!! umenikumbusha mbali sana aisee siku ya Disco hapo zoo ilikuwa ni balaa
 
hahaa, nakumbuka jinsi tulivyokuwa tunawatetemekea watoto wa zuu. Zuu ndo nilipopata binti wa kwanza kuniingiza ktk mahusiano.
Ni vigumu sana kusahau hizo siku, tukiambiwa tunaenda zuu kwenye mahafal vidume tutajiandaa kama vile tunaenda kuoa.
 
hahaa, nakumbuka jinsi tulivyokuwa tunawatetemekea watoto wa zuu. Zuu ndo nilipopata binti wa kwanza kuniingiza ktk mahusiano. Ni vigumu sana kusahau hizo siku, tukiambiwa tunaenda zuu kwenye mahafal vidume tutajiandaa kama vile tunaenda kuoa.
umemaliza mwaka gan kaka?? mim nimetoka hapo mwaka huu
 
Ok! Kwa sasa uko wapi na unafanya nini? Zoo umemaliza mwaka gani? Je umeshaolewa?
 
Back
Top Bottom