unakumbuka jina lenu la Zoo kutoka kwa Tosa boys?Dah naikumbuka sana shule yangu iliyonitoa ujinga. Namkumbuka headmistrec mama Mgonja amefanya kazi pale miaka25. Dah nikikumbuka enzi ya kudabo makande kwa aunt Monica!! Raha sana. Mlinz wetu anko Samboni, ukimpa buku tu unachomoka, kasheshe maspy wakijua.
umemaliza mwaka gan kaka?? mim nimetoka hapo mwaka huuhahaa, nakumbuka jinsi tulivyokuwa tunawatetemekea watoto wa zuu. Zuu ndo nilipopata binti wa kwanza kuniingiza ktk mahusiano. Ni vigumu sana kusahau hizo siku, tukiambiwa tunaenda zuu kwenye mahafal vidume tutajiandaa kama vile tunaenda kuoa.
umemaliza mwaka gan kaka?? mim nimetoka hapo mwaka huu
yaap nipo Udsm hapo kakanimemaliza mwaka 2009. Vp umepata chuo?