Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Haya mambo ya kumtaja mtu kwa itikadi yake inasaidia niniNi vilio na simanzi katika mtaa wa Mkimbizi D, kata ya Mkimbizi, manispaa ya Iringa, kufuatia kuuawa kikatili kwa mjane Anastazia Mwamongi, maarufu kama Mama Mwamongi, ambaye pia ni kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya mwili wake kukutwa ndani ya nyumba yake ukiwa na majeraha eneo la kichwani.
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa mtaa huo, Mgimba Wigeni, mwili wa marehemu ulikutwa ndani ya nyumba yake baada ya kupata taarifa kutoka kwa mtoto wake, ambaye alipata wasiwasi kutokana na kutompata mama huyo kwenye simu kwa zaidi ya siku tatu.
“Nilifuatwa nyumbani kwangu na mtoto wake, akaniambia yeye na ndugu zake wana wasiwasi na mama yao kutokana na kushindwa kuwasiliana naye kwa zaidi ya siku tatu, na amefikia nyumbani amekuta milango yote imefungwa, ndipo tulipoamua kufika nyumbani kwake na tulipochungulia dirishani tulimuona amelala chini, hivyo tukatoa taarifa kwa jeshi la polisi,” amesema Wigeni.
Aidha, Wigeni amesema tukio hilo linazua hofu kwa wakazi wa eneo hilo, hasa ikizingatiwa kuwa ni tukio la pili la aina hiyo kuhusisha wanawake katika kipindi kifupi, huku chanzo chake kikiwa bado hakijulikani.
Majirani wa marehemu wameeleza masikitiko yao, wakimtaja mama Mwamongi kuwa alikuwa ni mtu mwenye upendo, mkarimu na aliyeishi kwa amani na watu wote.
Mwili wa marehemu Anastazia Mwamongi utapumzishwa siku ya Jumanne Julai 22, 2025 katika makaburi ya Igeleke yaliyopo eneo la Kihesa kilolo kata ya Mkimbizi.
sio utani mambo haya ukionekana chadema unawindwa na UVCCM mfano mimi walishataka kunifungia biashara na kunitishia UVCCMHaya mambo ya kumtaja mtu kwa itikadi yake inasaidia nini
Hii post ulikusudia kuiweka hapa au umejisahau?Atheist hapo wameufyata mkia kama mbwa foga ,ingekuwa dini wangetaka dini zifutwa ..Oneni siasa ni janga Africa.
Itakuwa madeni ya Muliro.Ni vilio na simanzi katika mtaa wa Mkimbizi D, kata ya Mkimbizi, manispaa ya Iringa, kufuatia kuuawa kikatili kwa mjane Anastazia Mwamongi, maarufu kama Mama Mwamongi, ambaye pia ni kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya mwili wake kukutwa ndani ya nyumba yake ukiwa na majeraha eneo la kichwani.
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa mtaa huo, Mgimba Wigeni, mwili wa marehemu ulikutwa ndani ya nyumba yake baada ya kupata taarifa kutoka kwa mtoto wake, ambaye alipata wasiwasi kutokana na kutompata mama huyo kwenye simu kwa zaidi ya siku tatu.
“Nilifuatwa nyumbani kwangu na mtoto wake, akaniambia yeye na ndugu zake wana wasiwasi na mama yao kutokana na kushindwa kuwasiliana naye kwa zaidi ya siku tatu, na amefikia nyumbani amekuta milango yote imefungwa, ndipo tulipoamua kufika nyumbani kwake na tulipochungulia dirishani tulimuona amelala chini, hivyo tukatoa taarifa kwa jeshi la polisi,” amesema Wigeni.
Aidha, Wigeni amesema tukio hilo linazua hofu kwa wakazi wa eneo hilo, hasa ikizingatiwa kuwa ni tukio la pili la aina hiyo kuhusisha wanawake katika kipindi kifupi, huku chanzo chake kikiwa bado hakijulikani.
Majirani wa marehemu wameeleza masikitiko yao, wakimtaja mama Mwamongi kuwa alikuwa ni mtu mwenye upendo, mkarimu na aliyeishi kwa amani na watu wote.
Mwili wa marehemu Anastazia Mwamongi utapumzishwa siku ya Jumanne Julai 22, 2025 katika makaburi ya Igeleke yaliyopo eneo la Kihesa kilolo kata ya Mkimbizi.
Siasa ni tatizo Africa sio diniHii post ulikusudia kuiweka hapa au umejisahau?
Naona unatembea nje kabisa ya kilichozungumzwa hapo juu labda ufafanue zaidi tuelewe.
Kwasasa ukiwa na biashara inabid ukae kimya hata kama huipendi ccmsio utani mambo haya ukionekana chadema unawindwa na UVCCM mfano mimi walishataka kunifungia biashara na kunitishia UVCCM
Apumzike kwa amani. Sioni kama hapa siasa imehusika. Labda Polisi watuletee uchunguzi wao hapo baadae.Ni vilio na simanzi katika mtaa wa Mkimbizi D, kata ya Mkimbizi, manispaa ya Iringa, kufuatia kuuawa kikatili kwa mjane Anastazia Mwamongi, maarufu kama Mama Mwamongi, ambaye pia ni kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya mwili wake kukutwa ndani ya nyumba yake ukiwa na majeraha eneo la kichwani.
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa mtaa huo, Mgimba Wigeni, mwili wa marehemu ulikutwa ndani ya nyumba yake baada ya kupata taarifa kutoka kwa mtoto wake, ambaye alipata wasiwasi kutokana na kutompata mama huyo kwenye simu kwa zaidi ya siku tatu.
“Nilifuatwa nyumbani kwangu na mtoto wake, akaniambia yeye na ndugu zake wana wasiwasi na mama yao kutokana na kushindwa kuwasiliana naye kwa zaidi ya siku tatu, na amefikia nyumbani amekuta milango yote imefungwa, ndipo tulipoamua kufika nyumbani kwake na tulipochungulia dirishani tulimuona amelala chini, hivyo tukatoa taarifa kwa jeshi la polisi,” amesema Wigeni.
Aidha, Wigeni amesema tukio hilo linazua hofu kwa wakazi wa eneo hilo, hasa ikizingatiwa kuwa ni tukio la pili la aina hiyo kuhusisha wanawake katika kipindi kifupi, huku chanzo chake kikiwa bado hakijulikani.
Majirani wa marehemu wameeleza masikitiko yao, wakimtaja mama Mwamongi kuwa alikuwa ni mtu mwenye upendo, mkarimu na aliyeishi kwa amani na watu wote.
Mwili wa marehemu Anastazia Mwamongi utapumzishwa siku ya Jumanne Julai 22, 2025 katika makaburi ya Igeleke yaliyopo eneo la Kihesa kilolo kata ya Mkimbizi.
Mikoa wa Nyanda za Juu Kusini, Kaskazini na Kanda ya Ziwa kiwango cha Ukatiri ni Kikubwa sana. Kwa kuwa ni Mjane huenda kuna shida ya Mirathi pia.Atheist hapo wameufyata mkia kama mbwa foga ,ingekuwa dini wangetaka dini zifutwa ..Oneni siasa ni janga Africa.
Kwani Kama mtu ni Mwl ukasema aliyeuwawa alikuwa Mwl ni kosa?Haya mambo ya kumtaja mtu kwa itikadi yake inasaidia nini
uchochezi ndugu maana kuna watu hua wapenda kuona watu wanafarakanaHaya mambo ya kumtaja mtu kwa itikadi yake inasaidia nini
Pole mkuu, Inaonekana kabsa kuwa comment ya mdau hapo haujaelewa kabsaHii post ulikusudia kuiweka hapa au umejisahau?