Kuna shida gani, si wakijifungua wanarudi shuleMkoa wa Iringa umeongoza kwa watoto wa kike kupata mimba za utotoni.
Zaidi ya wasichana 3,000 wenye umri kati ya miaka 10 hadi 19 mkoani Iringa, Wamegundulika kupata mimba katika kipindi cha januari hadi Oktoba mwaka 2021, jambo ambalo linarudisha nyuma juhudi za kupata elimu kwa watoto.
Kamwene Iringa πππ
Hata mimi nashangaakwani kuna tatizo?
wazae watarudi shule
π€£π€£π€£ Ngoja tusubiri tuone watakavyo ingia shuleni akina mama mwajuma.Na hivi huyu mama yenu amehalalisha watoto wapigwe pipe wa kuzaa azae wa kutoa atoe kisha warudi shule tegemea hiyo list kuongezeka mwakani.
2033 madarasani utasikia wewe mama Agnes niazime hiko kitabu mwengine wewe mama mwajuma niazime rula huku back benchers wakitongoza humo humo darasani.
waNa hivi huyu mama yenu amehalalisha watoto wapigwe pipe wa kuzaa azae wa kutoa atoe kisha warudi shule tegemea hiyo list kuongezeka mwakani.
2033 madarasani utasikia wewe mama Agnes niazime hiko kitabu mwengine wewe mama mwajuma niazime rula huku back benchers wakitongoza humo humo darasani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!wakati wa kuitisha majina
Jeny Simololi......Jana na leo
Salome Mgayasida.....hayupo amempeleka mtoto ckliniki
wa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Na hivi huyu mama yenu amehalalisha watoto wapigwe pipe wa kuzaa azae wa kutoa atoe kisha warudi shule tegemea hiyo list kuongezeka mwakani.
2033 madarasani utasikia wewe mama Agnes niazime hiko kitabu mwengine wewe mama mwajuma niazime rula yako upande ule wengine wakiomba ruhusa kwa walimu waende wakanyonyeshe huku back benchers wakitongoza wengine humo humo darasani.
Kuna vitu vya kumpa navyo uhuru mwanadamu (especially Muafrica) ila ukifanya mambo simple simple kama alivyofanya huyu mwanamke unavuruga kabisa utaratibu wa maisha yaliyostaarabika.