Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
MBUNGE WA IRINGA, MH. ROSE TWEVE AFANYA ZIARA WILAYANI MUFINDI MKOANI IRINGA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Mhe. Rose Tweve amefanya Ziara Kata ya Saohill, Upendo, Wambi, Changarawe, Kinyanambo na Kata ya Boma. WANAWAKE WA Wilaya ya Mufindi wanasema Mhe. Dkt. Samia Mitano tena mbele ya Mbunge Rose Tweve.
Wanawake hao kwa Umoja wao kwa kila kata walimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan za Kazi ya maendeleo yanayofanyika ktk kata zao pamoja mikopo ya wakina Mama katika Halmashauri ya Mafinga mji.
Aidha, Mbunge Mhe. Tweve amewakubusha kufanya vikao na mikutano katika Matawi na Mashina ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuelezana Mambo yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita.
Imetolewa na;
Ofisi ya Mbunge Wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa
Mhe. Rose Tweve.