Iringa Mjini imeitika, haya sio mapenzi Wala sio mahaba, Maelefu Kwa Maelfu wahudhuria CHADEMA

Hoja ya Makala kuwaambia Vijana wa Kitanzania waendelee kubet, imethibitisha ni Kwa namna Gan Viongozi wa CCM wanawadharau Vijana wa Nchi hii.
Aisee haya maneno kasema kumbe? Huyu ni mjinga Sana tena hizo ni dharau kubwa Sana Kwa vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…