Iringa mjini ni sehemu gani wanauza/nunua vifaa used vya majumbani na ofisini?

Sales93

Senior Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
146
Reaction score
73
Habarini za asubuhi wanajamvi,

Ni matumaini yangu nyote mmeamka salama.

Bila kuwachosha ningependa kuomba msaada kwa mtu yoyote anayefahamu sehemu ambayo wananunua na kuuza vitu used vya majumbani au maofisini kwa upande wa Iringa mjini.

Nitashukuru sana kwa msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…