Iringa: Mkazi wa Dar akamatwa baada ya kuzidiwa akisafirisha Dawa za Kulevya alizomeza

Na hizi bumps za tanrods lazm tumbo livuruge [emoji38] mpaka nahisi zimewekwa kwa ajili ya hawa wameza ngada
Hapo inategemea kuna mambo kadha wa kadha yawezekena yamemkuta
1)pipi kupasuka ikiwa tumboni
2)wakati anameza pipi zilikaa vibaya tumboni
Zikafanya kumletea matatizo

Ndomana mmezaji akimeza anatakiwa kula vitu laini laini juice, keki,biskuti

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…