Iringa mkoa pekee unapeleka moto huku unaota moto

Hahaha............nilikuwa sijui kuhusu mtoa mada, maana nimejikuta nairudia kusoma zaidi ya mara 3 bila kuelewa dhumuni la Uzi wake
Huyo ndio Pdidy na ndio amemaliza hivyo
 
1. Peleka moto=kufanya mapenzi.
2. Ota moto=kujikinga na baridi kwa kujifunika ndani ya blanket.
Haya yapo Iringa na Njombe tu kwamba mlaji anakula huku akipambana blanketi la kilo 8 lisimwache mgongo wazi.
 
Mpwa nimetoka make

Tee balaaaa khaaa watoto wadogo wanajua mapenzi kama....
 
Hapa ulitaka kuandika nini ama mtoto anachezea simu yako?

Sio vizuri kututesa Wazee kuvaa miwani Kila muda kusoma vitu ambavyo havisomeki
Uwe na C2 kwanza Miiwani sio shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…