Iringa mlimpiga makofi Queen Sendiga, sasa ndiyo mkuu wenu wa Mkoa

Iringa mlimpiga makofi Queen Sendiga, sasa ndiyo mkuu wenu wa Mkoa

MovingForward

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2009
Posts
489
Reaction score
49
Maisha ni darasa, Ahsante mama Samia Suluhu Hassan kwa funzo hili kwa Watanzania.

Queen.jpeg
 
Watu wa humu bhana kweli vituko, kwahy nchi mzima chadema ndio wapinzani tuu ila hao wengine sio wapinzani, ety yule mama sio mpinzani ni ccm.?
CHADEMA mtabaki kupinga-pinga tuu.
 
Akafanye Kazi Aache Mambo Ya Membe Dakika 89 Goal
 
Sasa ndio atawafanya nini, hawezi kiwalipizia kisasi(kuwanyima maendeleo) kwa ajili ya kulinda ugali wake[emoji23].
 
Back
Top Bottom