dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
wah! poa basi.. haina wass, walasikudhania upo kenya.Na mie niko hapa Methodist Hotel! nimekuja semina ya mwezi mzima daa basi njoo tuonane!
kmbe pako good hiviView attachment 1420249
View attachment 1420253
View attachment 1420255
View attachment 1420268
View attachment 1420269
View attachment 1420271
View attachment 1420272
View attachment 1420273
View attachment 1420274
View attachment 1420277
View attachment 1420280
View attachment 1420285
View attachment 1420291
1. Amon Nsekela Lodge
Hapa ni Kitanzini...
Mashine Tatu
Hapa ni wapi ???
Aaaah, huku ni kule juu VETA...
Hapa ni Mshindo Kanisani...
Hapa ni CRDB ya zamani, jengo la Asas karibu na MOTTO-HOUSE.
Hapa ni Hasty-Tasty, nyuma kidogo ya Back-Yard na Clock-Tower Cafe.
Hapa ni Posta- Garden...
Hapa ni Barabara Mbili, nyuma ya stendi kuu.
Hapa ni Stendi-Kuu ya zamani...
Hapa ni Assembly Hall...
Hapa ni Tosamaganga ???
Hapa ni geti la juu ukiwa unatoka Wilolesi ???
Naona TANESCO na TREASURY...
Hahahaha, Wilolesi hii kuelekea Lugalo....
Picha ya kwanza ni Sabasaba...