dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
wah! poa basi.. haina wass, walasikudhania upo kenya.Na mie niko hapa Methodist Hotel! nimekuja semina ya mwezi mzima daa basi njoo tuonane!
mwanzoni nidhani eti weye omwana chicongo toka chinshasa.
hivi kumbe uko Methodist hapa!?... swadakta!.
utakua free lini, nije nikakujulie hali, mshikaji wangu..
ama unaweza kuja town kesho, yaani cbd? hapo itakuaje?