Quavohucho
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 798
- 2,028
Kutoka frelimo to town center
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mji uko poa sana,Soon utakuwa jiji.
Mji poa, msikubali muallana geza ulale akanganyange huko. Ataleta mazingaumbwa kutoka sambawanga.Mji uko poa sana,Soon utakuwa jiji.
Hataweza tutamvuruga.Mji poa, msikubali muallana geza ulale akanganyange huko. Ataleta mazingaumbwa kutoka sambawanga.
Naikumbuka hii chuma nikipanda Dodoma Railway station kuenda Iringa hadi Malangali nikiwa na warrant serikali , ninaenda Shule na driver wake maarufu akiitwa Mwarabu , duuh wewe mwenye picha hii nawe sasa ni babu
Niangusage tu wee sambi sako