MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Junction ya Mashine-Tatu na Msikiti wa Ijumaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Junction ya Mashine-Tatu na Msikiti wa Ijumaa.
YeahJunction ya Mashine-Tatu na Msikiti wa Ijumaa.
yeah! Umesoma apo nini? Maana unaonekana iringa unaijua sana!Hapa ni geti la juu ukiwa unatoka Wilolesi ???
Nisipafahamuje wakati hapo ndiyo palikuwa ni Chuo Cha Benki mzee...yeah! Umesoma apo nini? Maana unaonekana iringa unaijua sana!
true! Kitambo hichoNisipafahamuje wakati hapo ndiyo palikuwa ni Chuo Cha Benki mzee...
Ushahidi huu hapa msikilize huyu mamaNasikia huko mbwa ni mnyama adimu
Hapa ni mitaa ya chini kama unakuja kanisa la RomaAaaah, huku ni kule juu VETA...
Panaitwa kitanzini
Unaweza kuchukua picha gangilonga. Nimepamiss sana Iringa
Wapi?
12 and counting.Kasi ya ujenzi wa majengo ya ghorofa kwa Iringa umatamalaki, ukitoa Dar na Mwanza, Iringa inaweza kufuata kwa kasi ya ujenzi wa maghorofa, nimepita CBD ya Iringa kuna maghorofa zaidi ya 12 yapo underconstruction
View attachment 2929416
WanajitahidiIringa endeleeni kupambana mtafika mbali mpo vizuri kuliko baadhi ya majiji mko mbele ya Mbeya na Tanga kwa skyline nzuri na ya kuvutia.
Muungano shule ya msingi Iringa.
Maeneo ya NMC pande za kwenda Gangilonga.