Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
weeeeeKwa uzoefu wangu hajafa kwa kubakwa bali kuna kitu kingine zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weeeeeKwa uzoefu wangu hajafa kwa kubakwa bali kuna kitu kingine zaidi
SawaAcha upuuzi wewe karma kitu gani hicho mnadanganyana🤣🤣🤣
Ndugubyangubyakimkuta ujue kayataka mwenyewe.
Alitoka wapi mtaani hadi akabakwa na watu wasio julikana!Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu Rucu mkoani Iringa, Rachel Mkubwa amefariki dunia kwa kile kilichodaiwa kubakwa hadi kufa na watu wasiojulikana.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Desemba 12 katika Mtaa wa Mhimba B, Kata ya Makorongoni Manispaa ya Iringa.
Akizungumza na Mwananchi Digital, Diwani wa Kata hiyo, Thadeus John amethibitisha kutokea kwa kifo hicho huku akisema mpaka sasa wanasubiri taarifa rasmi za Jeshi la Polisi kuhusiana na tukio hilo.
Diwani huyo amesema wiki iliyopita katika eneo hilo mwili wa kijana mmoja nao uliokotwa mtaroni akiwa amefariki dunia, huku amefungwa kamba.
“Hali hii imeanza kuibua hofu kwa wakazi wa mtaa huu na kifo cha huyu mwanafunzi, tunaishi na wanafunzi wengi mtaani sasa mambo kama haya yakianza kuibuka, yanazua hofu kubwa,” amesema diwani John.
Kabisa!!Kwa uzoefu wangu hajafa kwa kubakwa bali kuna kitu kingine zaidi
Mwamba kanusa sole tapeHi gundi gani ?
kwanini mwecau?Mwecau hali hii, itatokea huko mapema sana
Ngono kule ni kitu cha kawaida sana!kwanini mwecau?
Mbona sioni ugumu kwa suala kama hili kupata wahusika?, Ila Polisi wetu sasa janga...poleni familia.