M Makupa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 6,822 Reaction score 4,034 May 5, 2023 #1 Mikoa ya Iringa na Mbeya inaongoza kwa kuwa na watoto wenye udumavu 👇Dar, Kilimanjaro zaongoza wenye ‘viriba tumbo’
Mikoa ya Iringa na Mbeya inaongoza kwa kuwa na watoto wenye udumavu 👇Dar, Kilimanjaro zaongoza wenye ‘viriba tumbo’
Slowly JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 10,589 Reaction score 35,268 May 5, 2023 #2 Vyakula vya DSM ni Minyama nyama tuuu , michipsi , kazi zenyewe mahofsini na kukaa dukani ni mwendo wa Kuota matambi tuu
Vyakula vya DSM ni Minyama nyama tuuu , michipsi , kazi zenyewe mahofsini na kukaa dukani ni mwendo wa Kuota matambi tuu
dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 23,782 Reaction score 54,213 May 5, 2023 #3 Mbeya inakuwaje na utapiamlo? Iringa sawa maana chakula chao ni ugali 24/7/365 hawana mlo mwingine! Ila Mbeya ni uzembe wa hali ya juu.
Mbeya inakuwaje na utapiamlo? Iringa sawa maana chakula chao ni ugali 24/7/365 hawana mlo mwingine! Ila Mbeya ni uzembe wa hali ya juu.
M Makupa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 6,822 Reaction score 4,034 May 5, 2023 Thread starter #4 dudus said: Mbeya inakuwaje na utapiamlo? Iringa sawa maana chakula chao ni ugali 24/7/365 hawana mlo mwingine! Ila Mbeya ni uzembe wa hali ya juu. Click to expand... Si tunambiea kuwa kunamzunguko mkubwa wa hela? Tulishawambiaga mkoa kuwa na pato kubwa sio lazima wakazi wake wawe na maisha bora ,imagine ambao kimsingi ni mkoa wa tatu wa kipato ila ndio unaatapiamlo wa kutisha
dudus said: Mbeya inakuwaje na utapiamlo? Iringa sawa maana chakula chao ni ugali 24/7/365 hawana mlo mwingine! Ila Mbeya ni uzembe wa hali ya juu. Click to expand... Si tunambiea kuwa kunamzunguko mkubwa wa hela? Tulishawambiaga mkoa kuwa na pato kubwa sio lazima wakazi wake wawe na maisha bora ,imagine ambao kimsingi ni mkoa wa tatu wa kipato ila ndio unaatapiamlo wa kutisha
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 May 5, 2023 #5 Slowly said: Vyakula vya DSM ni Minyama nyama tuuu , michipsi , kazi zenyewe mahofsini na kukaa dukani ni mwendo wa Kuota matambi tuu Click to expand... Nyama ni chakula bora sana.
Slowly said: Vyakula vya DSM ni Minyama nyama tuuu , michipsi , kazi zenyewe mahofsini na kukaa dukani ni mwendo wa Kuota matambi tuu Click to expand... Nyama ni chakula bora sana.