Iringa nimepaelewa!!!

Iringa nimepaelewa!!!

Tena zile sio bams tu, zile ni bams za kukomoana. Tarura hao. Wananchi hawazipend na wanazilalamikia sana mpaka leo. Kuna ajali ilitokea ikaua mtoto wa shule, ilikua mbaya ndio sababu wakaamua kukomesha
Zile kweli mwana ukome, maana ni vya hapa na hapa halafu vidogo dogo flani ambavyo huwezi kuvipalamia!
 
Mimi naona Iringa Njombe Songea Mbeya na Rukwq kote kuna shida mzunguko wa pesa....angalia vyakula vinauzwq bei kutupwa sababu wingi wake na hakuna pesa za kununua....uliwa na fixed income utaishi kwa raha sana maisha yako chini sanaa
Njombe mbona nasikia mzunguko wa pesa upo karibia sawa na kahama mkuu. Au umeweika hapo kimakosa
 
Hii mikoa miwili inanichanganya Sana, Lindi na Iringa.
Yaani Huwa naona ni kama pipa na mfuniko, labda sababu ya majina Yao.

Nimekaa Lindi ila Iringa sijafika
 
Njombe mbona nasikia mzunguko wa pesa upo karibia sawa na kahama mkuu. Au umeweika hapo kimakosa
......njombe wapi kaka mji una mitaa 3 tu....kuna matajiri wa mashamba na mbao ila hakuna mzunguko inapitwq na makqmbako pale......weeee achana na kahama kabisaaaaa......!!
 
Back
Top Bottom