LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Tena zile sio bams tu, zile ni bams za kukomoana. Tarura hao. Wananchi hawazipend na wanazilalamikia sana mpaka leo. Kuna ajali ilitokea ikaua mtoto wa shule, ilikua mbaya ndio sababu wakaamua kukomeshakilichonishangaza Iringa mjini pana Vi bams vyakutosha hadi kero!
Yenye "yogwati" ya Kunzombe kwa masista au ya MNEC wa kuboma "Lilinga"?Haujambo lakini,miss darling?🥰Siku ukija niambie nikununulie yoghurt
Unatamba pande zakoKabisa kabisa . Unakula na kande za jero unarudi home upo ki askari
Sijambo babe 😘Yenye "yogwati" ya Kunzombe kwa masista au ya MNEC wa kuboma "Lilinga"?Haujambo lakini,miss darling?🥰
Hili halijui pale kitu pekee itakupa hela ni biashara ya Pombe yani barMmmmmm jipe muda zaidi....iringa mjini mzunguko pesa mgumu sanaa......
Zile kweli mwana ukome, maana ni vya hapa na hapa halafu vidogo dogo flani ambavyo huwezi kuvipalamia!Tena zile sio bams tu, zile ni bams za kukomoana. Tarura hao. Wananchi hawazipend na wanazilalamikia sana mpaka leo. Kuna ajali ilitokea ikaua mtoto wa shule, ilikua mbaya ndio sababu wakaamua kukomesha
😁Yaani bado uko standi tayari umeona pazuri, I wanda
Unaishi huko?mimi hua vinanikera sana...
Njombe mbona nasikia mzunguko wa pesa upo karibia sawa na kahama mkuu. Au umeweika hapo kimakosaMimi naona Iringa Njombe Songea Mbeya na Rukwq kote kuna shida mzunguko wa pesa....angalia vyakula vinauzwq bei kutupwa sababu wingi wake na hakuna pesa za kununua....uliwa na fixed income utaishi kwa raha sana maisha yako chini sanaa
We naye 😁😁Unaishi huko?
Iringa ni Pazuri mi napenda ule ubaridi na kitimoto!We naye 😁😁
Usile kitimoto mkuuIringa ni Pazuri mi napenda ule ubaridi na kitimoto!
......njombe wapi kaka mji una mitaa 3 tu....kuna matajiri wa mashamba na mbao ila hakuna mzunguko inapitwq na makqmbako pale......weeee achana na kahama kabisaaaaa......!!Njombe mbona nasikia mzunguko wa pesa upo karibia sawa na kahama mkuu. Au umeweika hapo kimakosa