Iringa university sio chuo bali n kitega uchumi.

victer

Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
58
Reaction score
9
Ndg wana jf niko hapa kujaribu kuwashauri kama mna ndg wanaotarajia kuingia chuo wasijaribu wala kuthubutu kujaribu ku apply Chuo Kikuu Cha Iringa zamani TUMAINI,sababu ni chuo kilichoweka PESAa mbele na wanadhulumu pesa za wanafunzi wanzolipiwa kutoka Bodi ya Mikopo.... Kuna kozi hawajapewa bumu lao mpaka sa ivi chuo kimezibana afu wanasema eti bodi bado haijaleta hela wakti wengne wamesaini, na pia kuna wengne wameongezewa ADA kutoka bodi lakin chuo kinakataa eti hakuna ada iliyoongezwa wakti majina ya ada yamekuja yakiwa na ongezeko la ada afu badoi wanakataa!!!! Jamani usishauri mtu kuomba chuo hiki kipo kimaslah zaidi!!!!!!
 
Hapo chuon kwenu hamna loan officer? Waziri wa mikopo mmeshindwa kumtuma bodi? Wasomi tunaowategemea mnalia lia tu
 

Jaribu kuwa Mzalendo na taasisi za Elimu nchini, hicho chuo kina-experience ya kutosha na kinaendeshwa kwa utaratibu mzuri sema changamoto hazikosi kila sehemu na siyo kukichafua kiasi hiki.
 
Ukiacha mikopo na kuongezwa ada , tupe hapari za masomo and waalimu na facilties
 

We ndio Pumba.vu kabisa sijui hata kwa nini walikupa udahili kwenye hicho chuo kilicho tukuka...
Nimewahi kufika hapo na nina ndugu yangu anafanya kazi hapo hayo mambo hayapo amethibitisha..

Mambo ya mikopo hayahusiani na ubora wa chuo kwani wao sio bodi ya mikopo..

Iringa university ni chuo pia ni kitega uchumi kama huelewi..
Namalizia kwa kusema we Bumunda wanafunzi wa hapo huwa hawagomi ovyo sasa kazi kwako..
 
Nakifahamu, siwezi kwenda kufanya kazi hapo, bora nikalime, na mtoto au ndugu yangu hatakaa asome hapo, bora akalime.
 
Duh pole sn najua hizi ni hasira za kukosa boom ila wanaojilipia vp nao wasiende haaahaa maisha bila unafiki hayaendi
 

Course coverage ikoje? Nafanya kazi na binti aliyemaliza hicho chuo, she is far ahead compared to IFM and IAA
 
Tatizo siku hizi hata ukichagua chuo, TCU wanakupelekeka wanakokutaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…