Ndg wana jf niko hapa kujaribu kuwashauri kama mna ndg wanaotarajia kuingia chuo wasijaribu wala kuthubutu kujaribu ku apply Chuo Kikuu Cha Iringa zamani TUMAINI,sababu ni chuo kilichoweka PESAa mbele na wanadhulumu pesa za wanafunzi wanzolipiwa kutoka Bodi ya Mikopo.... Kuna kozi hawajapewa bumu lao mpaka sa ivi chuo kimezibana afu wanasema eti bodi bado haijaleta hela wakti wengne wamesaini, na pia kuna wengne wameongezewa ADA kutoka bodi lakin chuo kinakataa eti hakuna ada iliyoongezwa wakti majina ya ada yamekuja yakiwa na ongezeko la ada afu badoi wanakataa!!!! Jamani usishauri mtu kuomba chuo hiki kipo kimaslah zaidi!!!!!!