Pole ndugu yangu kwa majibu machafu uliyotandikwa....
Vuta subira tuu,watakuja waungwana na wastaarabu wa Iringa University,watakujuza vizuri....
oh ndo eeff unaenda et enhe
Kijana acha dharau na fedhuli...
Hivi ulivyobahatisha yale magofu ya sua, ndio ukadhani wewe ndio umefaulu kuliko kila mtu...?
wewe nimepiga kitu cha 1.5 zen mkopo mier najua we wa teku wivu 2
Mleta uzi....
Nahisi kusema Iringa university, ulikuwa unamaanisha Tumaini University,Iringa campus....
Chuo kitafunguliwa 21st of oct. Na oriantation course itaanza siku hiyo hiyo....
Wahi kuripoti ili usecure nafasi za accomodatio,kwani rooms are limited, they'll offer them to those who will appear first- 1st come 1st served....
Mahitaji yao ni mengi sana katika kupata usajili chuoni....
So ni bora uingie kwenye web yao,then uende direct kwenye JOINING INSTRUCTION
Tumaini University - Iringa University College
Mkuu Paparazi,
Hicho chuo nowdayz kina itwa Iringa university . Kimeshajitoa Kuwa chini ya Tumaini.
Inasemekana chanzo ni mgao wa pesa uliokuwa unatoka chuoni kwenda Tumaini ulikuwa
Mkwanja mrefu sana. Askofu wao akaamua bora wajitoe na wakisimamie wao wenyewe kama Dayosisi ya Iringa .