Muamala
Member
- Aug 10, 2013
- 69
- 10
Naomba msaada kutoka kwenu wanajf ni lini first year wa degree wanatakiwa kwenda chuoni? Nikifungua website yao kuna sehemu wameweka important dates ambapo inaonesha wanatakiwa 21st, October wakati joining instruction inaonesha 3rd, October, msaada wakuu kwa mwenye uhakika na tarehe hizi anijuze