Iringa University

Iringa University

oh ndo eeff unaenda et enhe

Acha uprimary wako ww, nina sifa ambazo ww huna na nina mkopo kama kawaida. Kuwa huku siyo kwamba tuna alama za chini ni malengo ambayo tumejiwekea, hatusomi kama popo kama ww ambaye elimu yako haikusaidii.
 
Mleta uzi....

Nahisi kusema Iringa university, ulikuwa unamaanisha Tumaini University,Iringa campus....

Chuo kitafunguliwa 21st of oct. Na oriantation course itaanza siku hiyo hiyo....
Wahi kuripoti ili usecure nafasi za accomodatio,kwani rooms are limited, they'll offer them to those who will appear first- 1st come 1st served....

Mahitaji yao ni mengi sana katika kupata usajili chuoni....
So ni bora uingie kwenye web yao,then uende direct kwenye JOINING INSTRUCTION

Tumaini University - Iringa University College
Asante sana
 
Mleta uzi....

Nahisi kusema Iringa university, ulikuwa unamaanisha Tumaini University,Iringa campus....

Chuo kitafunguliwa 21st of oct. Na oriantation course itaanza siku hiyo hiyo....
Wahi kuripoti ili usecure nafasi za accomodatio,kwani rooms are limited, they'll offer them to those who will appear first- 1st come 1st served....

Mahitaji yao ni mengi sana katika kupata usajili chuoni....
So ni bora uingie kwenye web yao,then uende direct kwenye JOINING INSTRUCTION

www.tumaini.ac.tz

Kiongozi sasa chuo kinaitwa University of Iringa, hawapo tena chini ya Tumaini
 
Back
Top Bottom