Jiwe ndo alikuwa na hizo tabia za kujichotea fedha bila ya kufuata taratibu.hizi nifedha za serikali sio za mtu binafsi hivyo Rais anajua jinsi ya kuzifikisha kwenye hiyo miradi kwa kufuata utaratibu.Mbona hujasema, Rais wetu mpendwa ametoa bilioni 6? Unamaanisha kuwa hizi ni makusanyo ya kodi, ila zile nyingine mlizokuwa mnasema Rais ametoa, zilikuwa pesa za Rais za urithi?
Sasa mbwembwe zote za nini?Tanzania ni kubwa tusiwe na mawazo ya ubinafsi, hata mkoani kwako pia wanahitaji hizo fedha.
Bora raisi na serikali wameonesha utu kwa hayo mabilioni ya shilingi. Wengine karibuni na sisi tutaenda mahakamani kufungua kesi nyingine ya mabilioni ya shilingi tulizochangishwa mkutanoni, kisha yakatafunwa na mwenyekiti afu baadae kusingizia kavunjwa mguu na wasiojulikana.Mbona hujasema, Rais wetu mpendwa ametoa bilioni 6? Unamaanisha kuwa hizi ni makusanyo ya kodi, ila zile nyingine mlizokuwa mnasema Rais ametoa, zilikuwa pesa za Rais za urithi?
Bilion 6 kwa mkoa mzima ndiyo maendeleo?Jamii inaweza kukushangaa unapo tafsiri Mambo ya kimaendeleo kama mbwembwe, au nawe pia ni muathirika wa awamu iliyo pita.
Sio kosa lake huyo, ni kosa la mwenyekiti wake kwenda jela na akili zake. Kila siku tunawaonya kuwa wasimkabizi mwenyekiti wao akili zao. Sasa ona anachoandika jamaa hakiendani na hoja yako hata kidogo.Tanzania ni kubwa tusiwe na mawazo ya ubinafsi, hata mkoani kwako pia wanahitaji hizo fedha.
Tulia mkuu haya mambo ni makubwa sn kwakoHuo ni ubinafsi kumbuka kuwa haya Mambo yanakwenda kwa awamu, au we unadhani b 6.8 inaweza kujengwa vyumba vingapi vya madarasa .
Baraka21 mbona unashangaza Sana, ni miaka mingapi ilipita bila ya ajira.Madarasa bila waalimu, Zahanati bila wahudumu. Kuna watu maamuzi huwa wanafanya kwa kutumia MAKALIO.
Hana hoja ye kwake Kila Jambo ni kupinga, hizo ni akili zinazo elekea jioni karibu Zina Zama, zenyewe hazioni lolote Lilo zuri, na bila Shaka zimeathirika na Zina hitaji msaada wa tiba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kosa lake huyo, ni kosa la mwenyekiti wake kwenda jela na akili zake. Kila siku tunawaonya kuwa wasimkabizi mwenyekiti wao akili zao. Sasa ona anachoandika jamaa hakiendani na hoja yako hata kidogo.
Mkuu hivi vyumba vya kujenga kama box ni madarasa au ujinga nenda shule za zamani uangalie ubora wa madarasa uje hapa unambie tunajenga madarasa au ujinga!Huo ni ubinafsi kumbuka kuwa haya Mambo yanakwenda kwa awamu, au we unadhani b 6.8 inaweza kujengwa vyumba vingapi vya madarasa .