The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Wizara ya Afya Tanzania ingetoa takwimu za ukweli watu wakachukua tahadhari kuliko kusema kuna watu wawili halafu watu wanaibuka kutoka sehemu mbalimbali wakiwa wanaumwa na kupika kauli hiyo.
==
Kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani nchini (mpox), Daktari Godfrey Mtunzi Kutoka Manispaa ya Iringa Amethibitisha uwepo wa Wagonjwa Wawili wenye Viashiria vya Ugonjwa Wa Nyani (MPOX) naVipimo Vimepelekwa Maabara Kuu Ili Kupata Uhakika wa Ugonjwa Huo.
Pia soma: Wizara ya Afya yathibitisha uwepo wa wagonjwa wawili wa Mpox nchini