The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Sasa waseme watu kumi au mia wagonjwa wakati hospital hakuna hao watu?..mbona mnakuaga wajinga!?Kuficha taarifa za ugonjwa huu wa mpox ,serikali inakosea sana,sana,tu.tunapoelekea viongozi wanalinda vyeo vyao tukwa hiyo kazi yao ni kukanusha tu ma
ra hakuna mgonjwa mara Kuna wagonjea wawili upuuuzi mtupu.tanzania imepotoza uelekeo wa nchi makini kabisa,ebu angalieni hata caf wamefunhoa uwanjan wa mkapa aibu tupu .uwanjan unakarabatiwakwa mabilion eti,wizi ,unafiki,
Jiwe aliificha covd,hatimaye haikumuacha salama hadi yeye mwenyewe! Kwahiyo hata wao pia ni suala la muda tu.Kuficha taarifa za ugonjwa huu wa mpox ,serikali inakosea sana,sana,tu.tunapoelekea viongozi wanalinda vyeo vyao tukwa hiyo kazi yao ni kukanusha tu ma
ra hakuna mgonjwa mara Kuna wagonjea wawili upuuuzi mtupu.tanzania imepotoza uelekeo wa nchi makini kabisa,ebu angalieni hata caf wamefunhoa uwanjan wa mkapa aibu tupu .uwanjan unakarabatiwakwa mabilion eti,wizi ,unafiki,
Ni kweli kabisaWatupige lockdown walau kwa mwezi mmoja. Vinginevyo huu ugonjwa utasambaa sana.
Watupige lockdown walau kwa mwezi mmoja. Vinginevyo huu ugonjwa utasambaa sana.