'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

Tulikalilishwa upuuzi mwingi sana kuhusu Israel kumbe hamna kitu jeshi limejaa machoko watu, mwaka leo umekatika wanazinguka Gaza tu, hawajui mateka wao walipo pamoja na kuuuwa watoto na kubomoa majumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…