Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Mmeanza tena hadishi za chungura na fichi👶👶👶👶👶Kama USA wenyewe wameshaweka oda ya kununua technology ya iron dome ujue hawa watu sio wa kuchezea
Significant change haiwez kuwa ya muda mfupi hivyo inahitaji mda wa maanaIron-Dome ni mifumo ambao Israel inajivunia sana na umeonyesha kufanya kazi vizuri toka Oct 07,2023 Pamoja na kazi nzuri hiyo Israel imefanikiwa kufanya maboresho zaidi ili uweze kufanya kazi kwa ubiorą zaidi kuliko mwanzo.