Asante mkuu kwa kuongezea nondoLarry Holmes.
Alikua bingwa toka mwaka 1978 hadi 1985 kwa kuutetea mkanda wake kwa zaidi ya mapambano 20.
Tyson alikuja kumpiga Larry tayari alikua ile kitaalam tunaitwa past his prime time.
Nilijua tu utaingia kwenye framing fallacy ya kusikiliza ama kutoa hukumu kwa kuangalia tu kinachoonekana kwa juu.Umeweka interview ya Ken Norton halafu unasema ni ya George Foreman. Hilo peke yake linanipa mashaka juu ya uelewa wako kuhusu boxing.
Tyson ni bora kuliko Ali kwa vigezo vipi? Ali kuwa celebrity kunahusiana vipi na boxing talent? Tyson hakuwa celebrity? Kichekesho cha mwaka ni kudai Ali alikuwa anabebwa na marefa. Hakika nyie Tyson stans mna shida sana.
Ile ilikua vita tu kwa media ila kwa uwezo Tyson ni mzuri kuliko Ali.Ukiacha Evander Holyfield na Lennox Lewis ni bondia gani wa maana ambaye Tyson alipigana naye? Peter McNeely? Bruce Seldon? Please ...
Tyson ameshawahi kupigana "vita" kama ya Ali vs Frazier (mara tatu)? Tyson kishawahi kukutana na mtu mwenye ngumi nzito kama George Foreman na akashinda wakati kila mtu alijua anaenda Zaire kufa?Tyson kishawahi kuchukua ubingwa wa dunia wa uzito wa juu mara 3 kama Ali?
Mfalme wa fani fulani huwa ni mmoja tu! Mfano mpira-pele, carate-bruce lee, regae-bobmarley, rnb-michaeljackson NDONDI-MOHAMED ALI, nk,nk.
That was his opinion. Doesn't mean he is right. By the way did Muhammad Ali get favours when he beat the shit out of him in "rumble in the jungle"?Nilijua tu utaingia kwenye framing fallacy ya kusikiliza ama kutoa hukumu kwa kuangalia tu kinachoonekana kwa juu.
Tazama hiyo clip ya Keny hadi mwisho.
Typical stan. Nimekuuliza bondia gani wa maana ukiacha Holyfield na Lewis ambaye Tysona alimpiga, huna jibu. Nimekuuliza kama Tyson kishawahi kukutana na brawler kama Frazier akacheza naye raundi 36 na akashinda mara mbili, hujanijibu. Unaleta politiki tu, eti ilikuwa vita kwenye media.Ile ilikua vita tu kwa media ila kwa uwezo Tyson ni mzuri kuliko Ali.
Mapambano mengi ali alikua anashinda kwa pointi.
Ukifanya uchambuzi wa kuanzia pambano la kwanza la Ali hadi la Mwisho na Ali na kisha ukafanya na Tuson utaelewa.
Hata kwenye ubingwa, Ali alikua hawezi kutetea ubingwa wake kwa muda mrefu, alikua anachukua, kesho wanamnyanganya, keshokutwa anachukua hivyo. Mimi naona hata mtu kama Larry Holmes ambae ametetea mkanda wake kwa miaka karibu 6 kwa kupigana zaidi ya mapambano 20 ni mzuri kuliko Ali.
Ali alikua celebrity boxer.
Uwezo wako wa kuelewa ni mdogo sana. Wewe huna unachokijua kwenye boxing ambacho mimi sikijui, huna kipya nachoweza kujifunza kutoka kwako.Typical stan. Nimekuuliza bondia gani wa maana ukiacha Holyfield na Lewis ambaye Tysona alimpiga, huna jibu. Nimekuuliza kama Tyson kishawahi kukutana na brawler kama Frazier akacheza naye raundi 36 na akashinda mara mbili, hujanijibu. Unaleta politiki tu, eti ilikuwa vita kwenye media.