Is atheism/deism a credible factor for asylum?

Greetings fam.

As a Tanzanian, can one seek for asylum for being an atheist/deist?
It depends, if you are coming from Non-secular country like Saud Arabia, Iran, Afghanistan and the like, you may apply for asylum based on that reason of atheism. But this can be applicable only in some particular countries, most probably in Western countries like Canada, Australia, UK, etc.

Since you are Tanzanian, I'm not sure if your request will be accepted.
 
Can you define those terms for us non English speaking readers?
Deism: the belief in God based on personal observations of nature and/or the cosmos. Deists reject divine revelation, intervention, miracles, answered prayers, ...

ATHEISM
A person who does not believe in the existence of a god or any gods: one who subscribes to or advocates atheism.
 
It depends, if you are coming from Non-secular country like Saud Arabia, Iran, Afghanistan and the like, you may apply for asylum based on that reason of atheism. But this can be applicable only in some particular countries, most probably in Western countries like Canada, Australia, UK, etc.

Since you are Tanzanian, I'm not sure if your request will be accepted.
Yeah upo sahihi anaweza kupata anachokitaka! Ila aseme anataka kwenda nchi gani ili asaidike zaidi kwa mawazo Kama huko anapotaka kupata hifadhi kunasaidika au kuwezekana
 
Kwa mfano ufaransa unapata msaada ila pata makaratasi, usipopata makaratasi utafia barabarani na serikali haikupi ata Mia
 
It depends, if you are coming from Non-secular country like Saud Arabia, Iran, Afghanistan and the like, you may apply for asylum based on that reason of atheism. But this can be applicable only in some particular countries, most probably in Western countries like Canada, Australia, UK, etc.

Since you are Tanzanian, I'm not sure if your request will be accepted.
This is quite helpful, thank you.
 
Yeah upo sahihi anaweza kupata anachokitaka! Ila aseme anataka kwenda nchi gani ili asaidike zaidi kwa mawazo Kama huko anapotaka kupata hifadhi kunasaidika au kuwezekana
Australia ama Canada kaka.
 
Australia ama Canada kaka.
Wewe ni Raia wa nchi gani hasa??
Unatumia Hati ya kusafiria (Passport) ya nchi gani?

Kama unatumia Passport ya Tanzania ni ngumu Sana kufanikiwa hilo lengo lako huko Canada au Australia, it's extremely difficult to succeed. Labda kama una sababu 'zingine' za kuweza ku-apply hiyo asylum status.
 
Wewe ni Raia wa nchi gani hasa??
Unatumia Hati ya kusafiria (Passport) ya nchi gani?

Kama unatumia Passport ya Tanzania ni ngumu Sana kufanikiwa hilo lengo lako huko Canada au Australia, it's extremely difficult to succeed.
Me ni mTanzania na passport yangu ni ya Tanzania pia.

I get that it's an extremely difficult quest ila I was just wondering if there's a slightest chance for it to be granted, so that I can try.

I also figured kwamba kama ukiweza kupanga maelezo vizuri ukaelezea pressure unayopata kutoka kwa familia na jamii juu ya religious orientation yako basi unaweza ukafikiriwa. I mean zipo mpaka videos watu wanapigwa kisa kula mchana kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan.
 
Sababu dhaifu Sana hiyo, hata kama Mimi nikiwa Afisa Uhamiaji kamwe sitaweza kuidhinisha maombi yako kwamba yakubaliwe. Completely baseless reasoning.
 
Ingia YouTube ndio utaelewa upo sahihi, achana na huyo afisa uhamiaji wa JF
Okay sawa, lakini kumbuka tu kwamba nchi za wenzetu wako serious sana kuhusu suala la Uhamiaji, hususani Wahamiaji kutoka katikà nchi zetu hizi za Afrika.Waafrika wamekuwa wakipitia mchujo mkali zaidi pale wanapoomba hadhi ya uhamiaji kwenye nchi yoyote ile huko ughaibuni. Jaribu kutafiti juu ya masaibu wanayipitia Wahamiaji wa ki-Afrika huko nje wakati wanapoomba hadhi ya uhamiaji, ndio utaelewa hiki nilichoeleza. Siyo kazi rahisi hata kidogo kama unavyofikiri. Labda kama hujawahi kusafiri hata Mara moja kwenye hizzo nchi, kama umewahi nafikiri utakuwa umenielewa vizuri hicho nilichoeleza.
FYI: Watu weusi wanaitwa kwa lugha ya kebehi ya 'Vermin' kwenye hizo nchi wakati wanapoomba hadhi ya uhamiaji.
 
Mf. Kwa Canada hifadhi ya ukimbizi unaenda iombea ukiwa umeshafika, kama una toka ktk nchi zenye machafuko nk unaombea ukiwa huko huko

Huo mchujo unaweza uelezea zaidi!

Kasome act zao zinasemaje!? Uongeze maarifa ili uje kuwa msaada mzuri kwa wengine
 
Je, umeshawahi kuishi nje ya nchi yako ya asili Kama Mhamiaji wa kimataifa?Nisije nikawa nabishana na mtu ambaye Hana kabisa experience yoyote ile kwenye masuala haya ya uhamiaji wa kimataifa au hajawahi kabisa hata kuvuka mipaka ya nchi hii ya Tanzania na kwenda hata ktk nchi za jirani kama Uganda au hata Kenya.

Naamini kwenye mtandao huu wa JF wapo diaspora wengi sana, nafikiri na wao pia wanaweza wakakupatia uzoefu wao kwenye masuala haya. Isipokuwa tambua tu kwamba kuwepo kwa Sheria katika nchi fulani ni jambo moja, lakini utekelezaji wa Sheria hizo ni jambo lingine kabisa. I'm taking by experience. Wewe endelea kujidanganya hivyo hivyo na fikra zako hizi potofu. Endapo kama suala la kupata hadhi ya uhamiaji/ukimbizi katika nchi hizo za ughaibuni lingekuwa jambo rahisi namna hii kama unayofikiria wewe, Basi Watu wengi sana kutoka kwenye nchi zetu hizi za Afrika wangehamia huko ili waishi huko maisha yao yote.
 
Nimewekeza muda kwa week kadhaa kujifunza suala zima la immigration policies za nchi ninazotamani kwenda, aisee! mpaka hapa naona hakuna shortcuts.

The easiest way ni kwenda kama mwanafunzi tu, japo nimesha'apply vyuo mara mbili na mara zote nimepata nafasi ila kubahatika hiyo scholarship sasa ndo giza totoro.

Ngoja nichukue the long-route tu.
 
Back
Top Bottom