Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Kusafiri sio kigezo! Watu wapo hapa nchini na hawa fahamu taratibu za nchi yao! Wengi ni kama wageni katika nchi yao!Je, umeshawahi kuishi nje ya nchi yako ya asili Kama Mhamiaji wa kimataifa?Nisije nikawa nabishana na mtu ambaye Hana kabisa experience yoyote ile kwenye masuala haya ya uhamiaji wa kimataifa au hajawahi kabisa hata kuvuka mipaka ya nchi hii ya Tanzania na kwenda hata ktk nchi za jirani kama Uganda au hata Kenya.
Naamini kwenye mtandao huu wa JF wapo diaspora wengi sana, nafikiri na wao pia wanaweza wakakupatia uzoefu wao kwenye masuala haya. Isipokuwa tambua tu kwamba kuwepo kwa Sheria katika nchi fulani ni jambo moja, lakini utekelezaji wa Sheria hizo ni jambo lingine kabisa. I'm taking by experience. Wewe endelea kujidanganya hivyo hivyo na fikra zako hizi potofu. Endapo kama suala la kupata hadhi ya uhamiaji/ukimbizi katika nchi hizo za ughaibuni lingekuwa jambo rahisi namna hii kama unayofikiria wewe, Basi Watu wengi sana kutoka kwenye nchi zetu hizi za Afrika wangehamia huko ili waishi huko maisha yao yote.
Unaweza waelimisha wadau kulingana na ufahamu wako wa mambo na ukawa msaada mkubwa
Karibu mkuu tupeane elimu katika hili eneo!