Is atheism/deism a credible factor for asylum?

Kusafiri sio kigezo! Watu wapo hapa nchini na hawa fahamu taratibu za nchi yao! Wengi ni kama wageni katika nchi yao!








Unaweza waelimisha wadau kulingana na ufahamu wako wa mambo na ukawa msaada mkubwa

Karibu mkuu tupeane elimu katika hili eneo!
 
Natamani kukuletea link jinsi watu wanavyoondoka kuelekea huko kupitia njia uliyoishindwa wewe

Shida naiona ni mamlaka husika zinaweza waletea tabu wale waliotumia njia hizo kufika huko

Naomba niruhusu nikutumie PM alafu utachambua mwenyewe! Wazanzibar wanaenda sana kupitia hizi njia pia

Uandishi wangu sio mzuri sana!
 
Je, Tanzania kwa Sasa kuna machafuko gani?? Je, atawezaje kuvuka mipaka ya nchi na kuingia Canada au kwenye nchi hizo alizozitaja bila ya yeye kupata kibali (Visa) ya kumruhusu kuingia huko?

He'll be 'Denied Entry' at the border Post for Want of Entry Permit. Most of the Western countries have the strikest border control measures, e.g. Australia.

Ushauri wangu kwa wewe unayetaka kufanya uhamiaji wa kimataifa wa namna hii, Usithubutu kukurupuka na kuanzisha safari ya kufanya jambo Kama hilo kabla haujajiandaa sawa sawa. Fanya kwanza tathmini na utafiti wa kina sana kabla ya kuanzisha safari yako.

Naona Ushauri wako wewe unayeejiita Chillah mwingi ni wa kupotosha. Inavyoonekana huna uzoefu kabisa kuhusiana na mambo haya ya uhamiaji wa kimataifa, zaidi Sana unaelezea Upotoshaji tu.
Jaribu kusoma Sheria za Uhamiaji na Kanuni zake za mataifa mbalimbali unayotaka kuzuru, pia Soma na Mikataba mbalimbali ya kimataifa kuhusu masuala haya. Aidha, pia usikose kusoma Sheria na Mikataba mbalimbali inayosimakia taasisi za kimataifa zinazohusika na masuala haya ya Uhamiaji wa kimataifa Kama vile UNHCR, IMO, n.k, n.k, hii itakusaidia kwa kiasi fulani kupata uelewa zaidi juu ya masuala haya.
Tatizo kubwa ninaloliona lipo kwa Watu weusi wengi ni ukosefu wa elimu Bora, iliyo sahihi na inayoendana na mazingira husika ili kutatua changamoto wanazokumbana nazo katikà maisha yao ya kila siku, wao wamekuwa ni Watu wa kufanya jambo kwa kukurupuka bila ya kufanya utafiti au bila ya kufanya Upembuzi yakinifu kwanza. Wamekuwa Watu wa kukurupuka, kutegemea bahati nasibu na miujiza kutokana na kudra za Mungu. Very sad indeed!!!
 
Sina zaidi cha kuongeza! Ila tambua watu wana pata hifadhi

Jitahidi kusoma na kuelewa

Nenda kasoma IRCC wana semaje nenda kasoma Australian Immigration Act tena itakusaidia

Pia Australien wao una omba ukiwa nchini kwako na kuwasilisha ubalozi uliokaribu nawe, ila Canada unaomba utakapofika

Soma hapo Human rights ni inahusu nini?? Soma hapo religions, family matters nk kasome nyaraka zao vizuri kwa utulivu, usiwekeze kichwa kwenye mabomu pekee!
 
Nimekupa mwanga anzia hapo! Kujifunza zaidi gugo kimoja kimoja ukiweza peleka katika lugha Mama ata kisukuma au kipare upate uelewa wa haraka
 
Shukrani sana kwa muda wako chief. Asante pia nimeiona link.
 
Deism: the belief in God based on personal observations of nature and/or the cosmos. Deists reject divine revelation, intervention, miracles, answered prayers, ...
Deism ndio mpagani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…