anayefuata mkumbo ni wewe ambaye umekuta baba zako wanamwomba mzimu awasaidie matatizo yao na wewe ukalishwa sumu kwa ujinga wako ukameza. siamini katika negative deity, siamini katika deity yoyote ile, siamini kwamba kuna mjingamjinga fulani aliyeko sehemu yoyote ile anayacontrol maisha yangu, HAKUNA! Mambo ya cult, spirits (naona nyie mnaboreha mnasema holly spirit), mashetani, majini yote hayo yanapatikana kwenye vitabu vya dini tu, miungu yenu ni sawa tu na hizo takataka zingine, zamani watu walijichongea vijisanamu wakaviita El na mkewe Nashera (eti nyie mmeboresha mnawakana masanamu wakati ndiyo hao waliabudiwa na waasisi wa dini zenu), wengine wakaabudu jua (trust me, hao wanaakili kuliko mnaoabudu mizimu), wengine wakaabudu wanyama, wengine wakaabudu mwanamke, kwa kifupi kila jamii kulingana na ujinga wao waliamini vikaragosi waloona vinafaa, wewe hauna tofauti yoyote na hao! Mtoto mdogo anapozaliwa anakuwa haamini katika mizambwa yote hiyo, analishwa sumu na vilaza wanaomzunguka!