Sasa hayo ndio umeona ndio maswali ya maana?
Hadithi hadithi, hapo kale alikuwepo Mungu na mwanae, lakini mwana na Baba ake walikuwa pamoja tokea siku ya mwanzo.
sasa huo ndio ile tunaita usukule au uzuzu.
Umeshajiuliza wewe mkata majani kwa bulldozer hao ni ndugu pacha au Baba na mwana?
Hadithi hadithi, hapo zamani palitokea kijana mtanashati aliyekuwa akiishi Makkah saudi Arabia, huyo kijana alipata zali LA mentali kwa jimama fanyabiashara. Aliishi maisha ya Mario kwa raha mustarehe. Mara kwa Mara alikuwa anaenda kumeditate katika mapango. Siku moja akiwapangoni alikabwa na kitu asichokijua huku mwenyewe akijua fika kavamiwa na shetani. Na kuna wakati alikerwa Sana na kitendo cha kuvamiwa na shetani kiasi cha kutamani kujiua.
Akiwa amerejea kwa jimama na sononi za kukabwa na mashetani mario alimsumulia jimama yaliyomkuta, jimama baada ya kusimuliwa alimchukua Mario wake hadi kwa mjomba wake na kumsimulia masaibu ya mapangoni.
Mjomba wa jimama baada ya kusimuliwa ndipo alipomwambia Mario Kuwa aliyekukuba sio shetani Bali wewe hivyo ndo umeukwaa utume na kuomba dua ya maisha marefu ili ashuhudie Mario/mtume atavyotengeneza misukule.
Mario baada ya kuambiwa amekuwa mtume aliamua kutafuta mungu wa kumtuma ili athibitishe utume wake, hivyo aliamua kumchukua mungu wa kabila lake aliyekuwa akiabudiwa akiwa ndani ya sehemu iitwayo kaabah ambapo ndipo eneo LA hija kwa misukule wake.
Mario alipenda mungu mpweke yule asiye mwana wala msaididizi, Babati mbaya mungu wa makuraish alikuwa na mabinti watatu na wazaidizi zaidi ya 360.
Mario aliamua kumkarabati kwa kuwaondoa mabinti na wasaidizi ili abaki mwenyewe ambaye hakuzaa wala hakuzaliwa (alikarabatiwa) Hana wana wala msaidizi.
Baada ya kupata huyo mungu aliamua kujitangaza kuwa na yeye ni mtume tena kutoka nasaba ya Ibrahimu ( akiwa na nyama ya govi lake wakati uzao wa Ibrahimu wanatahiriwa )
Ndipo alipoanza kukusanya wafuasi kwa mbinu zozote zilizokuwa zinamwongezea wafuasi. Then akaanza kujiimarisha na kutafuta Mali hata kuunda genge la kupora misafara ya wafanyabiashara jangwani.
Mario ambaye alipandishwa cheo na mjomba wa jimama kuwa mtume alijiimarisha kiuchumi, kijamii na kidini.
Ndiye ambaye waitwao waislam Leo wanadai ni mtume toka kwa mungu aliyemkarabati mwenyewe ili atumwe.
Itaendelea...