Si niliona kuwa umeuliza swali? Sasa jibu hulipendi au limekuuthi? Jamaa Ishmael kesha kujibuHauko serious kabisa kijana.Mi nilidhani umeniita huku tujadili mada kumbe uko kimasihara zaidi.Halafu kuna watu wamekupa like.Ninawasiwasi kama huwa wanasoma hata unachoandika.
Ndo mana nikasema hayuko serious,alichonijibu hakina uhusiano na swali.You can not equate atheism to satanism because they are fundamentally different. Satanism acknowledge existence of god and their sole purpose is to disobey him while on the other hand atheism defies existence of God whatsoever. You get the difference kido?
Huyu jamaa uwezo wake wa kujenga hoja kwenye suala la Mungu ni mdogo kwa sababu idea yake ya Mungu is so absurd. Wewe naye tatizo lako unachanganya mambo na hoja zako kuhusu kutokuwepo kwa Mungu hazina nguvu wala mashiko. Tumeonesha hivyo kwenye nyuzi zako nyingi ulizoanzisha kuhusu haya masuala. Kifupi nyote ninyi hamna hoja za kutetea mnachosimamia.Ndo mana nikasema hayuko serious,alichonijibu hakina uhusiano na swali.
wewe unasimamia nini haswa!?Huyu jamaa uwezo wake wa kujenga hoja kwenye suala la Mungu ni mdogo kwa sababu idea yake ya Mungu is so absurd. Wewe naye tatizo lako unachanganya mambo na hoja zako kuhusu kutokuwepo kwa Mungu hazina nguvu wala mashiko. Tumeonesha hivyo kwenye nyuzi zako nyingi ulizoanzisha kuhusu haya masuala. Kifupi nyote ninyi hamna hoja za kutetea mnachosimamia.
Nasimamia uwepo wa Mungu.wewe unasimamia nini haswa!?
Hauko serious kabisa kijana.Mi nilidhani umeniita huku tujadili mada kumbe uko kimasihara zaidi.Halafu kuna watu wamekupa like.Ninawasiwasi kama huwa wanasoma hata unachoandika.
Hauko serious kabisa kijana.Mi nilidhani umeniita huku tujadili mada kumbe uko kimasihara zaidi.Halafu kuna watu wamekupa like.Ninawasiwasi kama huwa wanasoma hata unachoandika.
kumbe na wewe umeona mkuu, kijana anatakiwa ajifunze tena maana ya atheist!
What is serious to you? Don't you know that non theism is a religion? I know that some have made that statement without much evidence. And I know that non-theists themselves heatedly deny it. A religion doesn't have to posit a deity who must be identified or worshiped.
So, my reply is still authentic and hold watertight.
In the same token, non theism is a religion that acknowledges the existence of a negative deity, that is why they always say, you can not prove the "negative deity".You can not equate atheism to satanism because they are fundamentally different. Satanism acknowledge existence of god and their sole purpose is to disobey him while on the other hand atheism defies existence of God whatsoever. You get the difference kido?
Where is the common sense when you spend hours saying God does not exist and you can neither support your "common sense nor support your notion that God does not exist?
Non theism is the religion. Hilo ndilo tatizo la wengi wenu mnafuata mkumbo. Hamjui nini mnafuata. You are a part of a cult that believe in the "negative deity", the bad part is this, you can neither support your fallacy and/or notions of a negative deity nor have no knowledge of his/her existence.
anayefuata mkumbo ni wewe ambaye umekuta baba zako wanamwomba mzimu awasaidie matatizo yao na wewe ukalishwa sumu kwa ujinga wako ukameza. siamini katika negative deity, siamini katika deity yoyote ile, siamini kwamba kuna mjingamjinga fulani aliyeko sehemu yoyote ile anayacontrol maisha yangu, HAKUNA! Mambo ya cult, spirits (naona nyie mnaboreha mnasema holly spirit), mashetani, majini yote hayo yanapatikana kwenye vitabu vya dini tu, miungu yenu ni sawa tu na hizo takataka zingine, zamani watu walijichongea vijisanamu wakaviita El na mkewe Nashera (eti nyie mmeboresha mnawakana masanamu wakati ndiyo hao waliabudiwa na waasisi wa dini zenu), wengine wakaabudu jua (trust me, hao wanaakili kuliko mnaoabudu mizimu), wengine wakaabudu wanyama, wengine wakaabudu mwanamke, kwa kifupi kila jamii kulingana na ujinga wao waliamini vikaragosi waloona vinafaa, wewe hauna tofauti yoyote na hao! Mtoto mdogo anapozaliwa anakuwa haamini katika mizambwa yote hiyo, analishwa sumu na vilaza wanaomzunguka!
Ritual is the only dimension which on the surface might appear to be absent from the religion of Atheism.
In some religions rituals have meanings attached to them such as Passover commemorating the Israelites escape from Egypt. Because Atheism is a relatively recent movement, it doesn't have much of a history to commemorate.
but now atheists have public commemoration of the anniversary of Darwin's birth each February mostly in western countries their cradle just like that of Christ on Christmas and they acknowledge Darwin for made it possible to be an intellectually fulfilled atheist.
it is rapidly becoming something of an annual ritual as time goes and it is true that it will keep modifying and arising as atheism spreading the same level witnessed in growing of post religions.
1.We have made the earth somehow a better place to live and we are on our way to kill your onl remain god(unseen god)!,coz we have already killed many of your traditional gods,god of the sun,god of the moon,god of stars and so on.
2.We have made you people(believers of non existing god ) to think twice about your god`s ideas and showed you that the Universal has a simple beginning which does not require a creator and can simply explained,thats y many of you are now on our side.
3.We make experiments,Analysis,Proves,we require evidences,we make taste and so on.We dont assume like you.
4.Haya jitetee.