Is Atheism Satanism?

Is Atheism Satanism?

Every source which claims in the existence of God originates from those who want to convince us that God does exist, hence the question, why should I believe so when those who support that they(God/Gods) exist do not have substantial evidence to back their claim?

Don't speak for me.

Support your arguments and claim.

Kama huwezi sema kuwa uliropoka na wewe ni mmoja ya wakaririshwa kama Kiranga na Nyani Ngabu.
 
Last edited by a moderator:

Hahaha! Getting emotional huh? Sasa nyie ndiovwa kwanza kudai kuwa mungu yupo, mimi nimepinga na kuudai ushahidi na kama hakuna ushahidi basi nasema hayupo halafu mnidai ushahidi kuthibitisha kuwa hayupo wakati nyinyi ndio mliomuunda na kuniletea?
 
Teyari umesha shindwa kusaidia uongo wako. Unaona tatizo la kurpoka na kuwa mkaririshwa linavyo kuweka kwenye hari mbaya?

Wewe bado Umeshindwa kusaidia madai yako.

Swali langu bado lipo pale pale.

Thibitisha madai yako. Don't speak for me God Hater.
 
Sasa Nathibitisha vp kutokuwepo kwa kitu ambacho hakipo zaidi ya kusikika kwa hadithi tu kuwa kipo wakati hakuna aliewahi kukiona?
Nithibitishe nini sasa? Niseme niliemuona sio Mungu wakati sikuwahi kumuona? Niseme Mungu anaekaa Uingereza sio Mungu wakati Sijawahi kukutana na mtu anaedai yuko huko?
Niambie, Nithibitishe vipi? Kutokana na misingi ipi?
 
​Bado haujathibisha.
 
Kwahiyo ulikuwa unaropoka tu ulipo sema kuwa hakuna Mungu?

Ndio maana Biblia inawaita nyie WAPUMBAVU. Ni mpumbavu kama wewe anaweza sema kitu bila ya ushahid.

Soma: Zaburi 14:1.
 
Wewe ndie mpumbavu kama Biblia yako inavyosema kwa sababu, hujui na hujui kuwa hujui!
 
Wewe huna ubavu wa kubishana na aya zilizo teremshwa na Allah kwa Mtume wake Daudi.

  • Zaburi 14 : 1

    Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.

Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!

KAMA UNABISHA KUWA WEWE SIO MPUMBAVU, THIBITISHA MADAI YAKO.

Nimecheka sana aisee! Hivi mbona unajadili hoja kwa jazba sana? Hivi unaelewa jazba ambayo haiko provoked huashiria nini?
Fanya kama mimi ni mpumbavu halafu Nieleweshe kuwa Mungu unaemwamini anathibitika kwa yapi? Ulianza na Biblia sasa umeongezea na swala la Alah, so interesting. Hebu tuanze mjadala ulio serious!
 
Wewe huna ubavu wa kubishana na aya zilizo teremshwa na Allah kwa Mtume wake Daudi.

  • Zaburi 14 : 1

    Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.

Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!

KAMA UNABISHA KUWA WEWE SIO MPUMBAVU, THIBITISHA MADAI YAKO.

Mtumwa/mtumishi wa Mungu, Niko hapa, still waiting! We need to resolve this issue about your maker a.k.a Bwana!
 
Back
Top Bottom