Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,375
Tatizo mnapopewa ushahidi hamuutaki mkiulizwa aina ya ushahidi hamuujui mnaouhitaji. Majanga mwanzo mwisho.
Ushahidi mkubwa ni uumbaji unaoonekana wazi
Umeongea Kiungwana na hivyo nitakujibu kiungwana; Sasa kama ushahidi ni kama huo, ni vigumu kuuhusianisha na ushahidi wa kuwapo kwa mungu wenu mf; Ni kitu gani kinachohusianisha uwepo wa vitu na uwepo wa mungu?
Ni kipi kinachothibitisha kuwa ni mungu alieviumba?