Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,375
Tatizo mnapopewa ushahidi hamuutaki mkiulizwa aina ya ushahidi hamuujui mnaouhitaji. Majanga mwanzo mwisho.
Ushahidi mkubwa ni uumbaji unaoonekana wazi
Where is the proof that you exist? Usijaribu kukimbia kama wale akina Kiranga na Nyani Ngabu wenye udhaif wa fikra.Hahaha! You boring little bitch, msingi hapa ni je mungu wako yupo au ni kamba? Nipe huo ushahidi na sio kurukaruka
Kiongozi, jamaa hawa wana upungufu wa akili. Kwanza wapi ushahi wao kuwa hakuna Mungu? Kamwe hawato weza kutuletea kwasababu wao ni wafuata mkumbo.Tatizo mnapopewa ushahidi hamuutaki mkiulizwa aina ya ushahidi hamuujui mnaouhitaji. Majanga mwanzo mwisho.
Ushahidi mkubwa ni uumbaji unaoonekana wazi
Where is the proof that you exist? Usijaribu kukimbia kama wale akina Kiranga na Nyani Ngabu wenye udhaif wa fikra.
Blah blah blah, wee nilisha kwambia kufuata mkumbo ni msiba kwako. Unaona jinsi unavyo bwabwaja hapa?Nilikwishalijibu hilo swali, rudia majibu yangu katika post zangu sababu uliyasoma. kama unalo la kukosoa liweke hapa hadharani. Siwezi kukukimbia Ishmael, huna cha maana au kutisha
Blah blah blah, wee nilisha kwambia kufuata mkumbo ni msiba kwako. Unaona jinsi unavyo bwabwaja hapa?
Lete ushahid bana na si hadith za kiislamu. Sina muda na vilio vyenu visivyo na mwisho. Lete ushahid tuuone hapa.
Prove to me that you exist? Haya ngonjera zinaanza kama kawaida yako.
Bado haujathibitisha
Bado haujathibitisha.
Swali langu lipo pale pale.
Prove to me that you exist.
Bado auja-ThibitishaKama kawaida yako. Umesema explanation niliyotoa haitoshi, nikakwambia wewe uweke hapa sifa za kitu kinachoexist lakini umeshindwa, what do I do with you?
You are a very funny monkey, when you retire from the circus, can I keep you as a pet? Its serious!
Bado auja-Thibitisha
Hivi kwanini unaogopa kuthibitisha kuwa una exist?
Unaona tatizo la kufua Mkumbo wa madini na MA-CULT ya Kisheitwan yanavyo kutoa nisha mchana kweupeee.
Jibu swali langu bana.
Prove to me that you exist?
MaxIshmael naona umeamua ku-mobilize Ids zako!! Au mapepo ya Paulo yanakupuliza?Tatizo mnapopewa ushahidi hamuutaki mkiulizwa aina ya ushahidi hamuujui mnaouhitaji. Majanga mwanzo mwisho.
Ushahidi mkubwa ni uumbaji unaoonekana wazi
Link Mary, the Mother of JesusMuulize Allah akama alisema be and she was? Teh teh teh Msiba mkubwa sana, maana Allah yeye hana ubavu wa kuwa na mwana bila ya Allat. Hapo sasa
1. Mtume Muhammad akutana na Majini usiku na kuyafundisha Quran.MaxIshmael naona umeamua ku-mobilize Ids zako!! Au mapepo ya Paulo yanakupuliza?
Bado haujathibitisha
1. Mtume Muhammad akutana na Majini usiku na kuyafundisha Quran.
2. Shetani na yeye aingia msikitini na Kusilimu.
...Continue Reading
Yesu:
Matthew 26:39 Going a little farther, he fell with his face to the ground and prayed, "My Father, if it is possible, may this cup be taken from me. Yet not as I will, but as you will."
Matthew 27:46 About three in the afternoon Jesus cried out in a loud voice, "Eli, Eli, lema sabachthani?" (which means "My God, my God, why have you forsaken me?").
John 5:30 By myself I can do nothing; I judge only as I hear, and my judgment is just, for I seek not to please myself but him who sent me.
Mark 13:32 "But about that day or hour no one knows, not even the angels in heaven, nor the Son, but only the Father.
Paulo:
1 Corinthians 15:14 And if Christ has not been raised, our preaching is useless and so is your faith.
1 Corinthians 15:15 More than that, we are then found to be false witnesses about God, for we have testified about God that he raised Christ from the dead. But he did not raise him if in fact the dead are not raised.
Link 1 Corinthians 15 - The Resurrection of Jesus and Our Resurrection
link Surat An-Nisa' [4:157] - The Noble Qur'an - ?????? ??????
And [for] their saying, "Indeed, we have killed the Messiah, Jesus, the son of Mary, the messenger of Allah ." And they did not kill him, nor did they crucify him; but [another] was made to resemble him to them. And indeed, those who differ over it are in doubt about it. They have no knowledge of it except the following of assumption. And they did not kill him, for certain.
Sinilikwambia kuwa achana kufuata mkumbo wa vitu usivyo vifahamu.Naona Wewe huna hoja ya msingi na umeamua kunipotezea muda. Labda basi uniambie, ushahidi wa mimi kuwa naexist unasaidia nini katika mjadala huu?